Frame inapangishwa Salama, Mara


🇹🇿FREMU INAPANGISHWA – KIMARA KOROGWE (BARABARANI KABISA)
📍Fremu nzuri na ya kisasa inapangishwa eneo la KIMARA KOROGWE, ipo barabarani kabisa, sehemu yenye mwamko wa biashara na wateja wengi.
MASHARTI NA MALIPO
Kodi ya fremu: Tsh 300,000 kwa mwezi malipo miezi 6
Utalipa unapochukua fremu:
✔ Kodi ya mwezi mmoja
✔ Hela ya dalali
✔ Service charge: Tsh 15,000
BIASHARA ZINAZORUHUSIWA
🔹Biashara yoyote halali inaruhusiwa:
🔹duka, saloon, mgahawa, ofisi, huduma 🔹za kifedha (M-Pesa/TigoPesa), pharmacy n.k.
FAIDA ZA ENEO
🔹Ipo barabarani—mwonekano mzuri 🔹sana kwa wateja
🔹Eneo ni salama na rahisi kufikika
🔹Ukitaka, vitu vyote vya ndani vinauzwa pia, unaweza kuanza biashara mara moja
Mawasiliano 0656623510
Wsp 0752436347


















