Frame inapangishwa Sinza, Dar Es Salaam
Frame inapangishwa
Ipo:- Sinza
Frame Inaangalia barabara kubwa
Bei:- laki nane kwa mwezi
Frame inafaa kwa biashara yoyote na ipo sehemu iliyochangamka
Angalizo gharama za kupelekwa ni 30K
Mallipo ya dalali ni Kodi ya mwezi mmoja pindi ulipiapo Frame 0788262263