Frame inapangishwa Wazo, Dar Es Salaam



Fremu inapangishwa
Inafaa kwa ajili ya office, Super Market au matumizi mengine.
Ipo Wazo,
Barabarani kabisa, jirani na VIVA Super Market
Bei ni Milioni 1
kwa Mwezi
Kuna Parking kubwa
Kwa Mawasiliano
Piga 0718 809 744
Service Charge 20,000


















