Frame inauzwa Chanika, Dar Es Salaam






NYUMBA NA FREM MBILI ZINAUZWA ZIPO CHANIKA MTAA WA KWANDEVU DAR ES SALAAM BEI MILIONI 28,000,000/= MILIONI MAZUNGUMZO YAPO NJOO CHAP CHAP UJIOKOTEE DODO
NYUMBA INA VYUMBA SITA KIMOJA MASTER BEDROOM SITTINGROOM PUBLICK TOILET INA MAJI UMEME NA FREM MBILI ZA DUKA NK
WAHI SASA MDAU WANGU MWENYE HII NYUMBA KAVURUGWA NJOO UJIOKOTEE MALI KWA BEI POA
WOTE MNAKARIBISHWA



















