Frame inauzwa Kivule, Dar Es Salaam







Nyumba inauzwa kivule fremu kumi wilaya ya ilala dar
📌BEI MILION 19📌
Ipo karbu sana na hospital kuu ya wilaya ya Ilala dar (MAARUFU AMANA NDOGO)
Vyumba v3 kimoja masta
Sebule
Umeme jipsam na maji
Unatembea tu had stend
Parking ipo
Nyaraka ya serikal ya mtaa
Whatsap au pig 0673601114