Frame ya Biashara inapangishwa Kijitonyama, Dar Es Salaam


Aina
Frame ya Biashara
Sifa
Maelezo
📢 FRAME INAPANGISHWA – KIJITONYAMA
💰 Bei: 600,000 kwa mwezi (malipo miezi 6)
🔥 Offer maalum: Ukilipa mwaka mzima – 500,000 kwa mwezi
📍 Ipo sehemu nzuri na yenye biashara
⚡ Umeme unajitegemea
✔ Inafaa kwa biashara mbalimbali
📞 Wasiliana nasi: 0678512666
💼 Service charge: 30,000/=
🚀 Wahi sasa kabla haijachukuliwa!



















