Frame ya Biashara inapangishwa Sinza Mori, Dar Es Salaam


Aina
Frame ya Biashara
Huduma na Sifa
Maelezo
🔥 FREM INAPANGISHWA – SINZA MORI 🔥
Unatafuta sehemu ya biashara yenye muonekano wa kuvutia na location kali? Hii hapa! 👇
📍 Ipo Sinza Mori, inatazama moja kwa moja barabara ya lami
✨ Eneo zuri sana kwa biashara yoyote – office, shop, salon n.k
💰 Bei: 700,000/= kwa mwezi
🧾 Service Charge: 30,000/=
Usikose nafasi hii ya kipekee kwenye eneo lenye movement kubwa ya wateja!
📞 Call: 0787093748



















