Frame ya Biashara inapangishwa Sinza Mori, Dar Es Salaam


Aina
Frame ya Biashara
Sifa
Maelezo
🏢 FREM INAPANGISHWA – SINZA MORI 🏢
Unatafuta sehemu nzuri ya kuendesha biashara yako? Hii hapa fursa adimu! 🔥
📍 Eneo: Sinza Mori
💰 Bei: Tsh 600,000 kwa mwezi
✨ Frem kubwa yenye muonekano mzuri sana
📌 Ipo sehemu yenye mzunguko mzuri wa watu – biashara inahakikishiwa kuonekana
⚡ Umeme na mazingira rafiki kwa biashara
🧾 Service Charge: Tsh 30,000
Inafaa kwa biashara mbalimbali kama ofisi, duka, saluni na nyingine nyingi.
📞 Wahi sasa! Piga simu: 0787093748
Usikose nafasi hii ya kipekee! 🚀



















