Nyumba inapangishwa Bunju, Dar Es Salaam


APARTMENT INAPANGISHWA IPO BUNJU BEACH MOGA
- INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA CHUMBA KIMOJA NI MASTER PUBLIC TOILET SUBULE KUBWA NA JIKO LA KISASA LENYE MAKABATI IPO FUL A/C FENI VYUMBANI NA SEBULENI KILA KITU INAJITEGEMEA ...NK ......
-
NI APARTMENTS 2 TU
KWENYE FENSI
-
- BEI INAPANGISHWA TZS LAKI 500,000 KWA MWEZI
π #cal 0717671240 au WhatsApp