Nyumba inapangishwa Buyuni, Dar Es Salaam


NYUMBA MPYAAA INAPANGISHWA
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA (KIMOJA MASTER), SEBULE NA JIKO LA NNJE, VYUMBA VYOTE VINA FENI, MAJI NA UMEME VYOTE MITA INAJITEGEMEA.. MAJI MASAA 24.
LOCATION: BUYUNI, NJIA YA CHANIKA.. DK 5 KWA MIGUU UPO STENDI.
KODI: 150000 KWA MWEZI, MALIPO KWANZI MIEZI SITA.
CONTACT: 0719115949 / 0692423138.