Nyumba inapangishwa Chanika, Dar Es Salaam
CHUMBA MASTER KINAPANGISHWA
NDANI YA FENSI | KINA FENI | MAJI YANATOKA CHOONI | FENI | TENKI LA MAJI NNJE | KALO LA KUOSHEA VYOMBO. UMEME WANASHEA WATATU | MAJI WANASHEA WATATU | NA TENKI WATATU TU.
LOCATION: CHANIKA, KITUO KWA ZOO.
KODI: 80000 KWA MWEZI, MALIPO KWANZIA MIEZI MITATU.
CONTACT: 0692423138 / 0719115949.