Nyumba inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


APARTMENT INAPANGISHWA;
💧Location :: GOBA TRIPLE B KARIBU KABISA NA BARABARA
💧Bei :: 600,000Tsh  Miezi 3
Muundo wa Nyumba;
📍Vyumba Viwili (Chumba kimoja Masta)
📍Sebule 
📍Choo cha Public 
📍Jiko Lenye Makabati 
📍Feni 
📍Fensi 
Wasiliana nasi Kwa Maelezo zaidi kupitia;
0783558470
Call /Whatsapp



















