Nyumba inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


APARTMENT MPYA INAPANGISHWA;
💧Location :: GOBA MWANZONI (KWA SANYA) - KARIBU NA BARABARA
💧Bei :: 600,000Tsh kwa Mwezi
Muundo wa Nyumba;
📍Vyumba Viwili (Chumba kimoja Masta)
📍Sebule Kubwa
📍Choo cha Public
📍Jiko Lenye Makabati
📍Feni
NB:: FENCE INAJENGWA
Wasiliana nasi Kwa Maelezo zaidi kupitia;
0783558470
Call /Whatsapp