Nyumba inapangishwa Goba, Dar Es Salaam
*APARTMENT MPYA KABISAAA ZINA PANGISHWA GOBA ROAD NJIA PANDA YA MAKABE AU KWA ROBART. DK 5 KUTOKA LAMI KWA MGUU.*
CHUMBA MASTER KIKUBWA
SEBLE KUBWA SANA
JIKO KUBWA
MAJI YANA FLOW
LUKU YAKO
NDANI YA FENCE
PARKING SPACE KUBWA
SERVICE CHARGE 15,000/=
ANGALIZO;
KUINGIA TAREHE 25.2.2025.BADO VITU VIDOGO KUMALIZIKA.
KODI 250,000/=×6
KUONA NYUMBA ELFU 15000
UTAMLIPA DALALI KODI YAMWEZI MMOJA UKILIPIA NYUMBA
0713320608
0686334182