Nyumba inapangishwa Goba, Dar Es Salaam
Inapangishwa: Mpya Kabisa
Stand Alone House
Location: Goba Njia Nne
Bei Yake: 1,200,000Tsh kwa Mwezi (Miezi 6)
Muundo wa nyumba;
🌡️Vyumba V4 (Vyote Master)
🌡️Sebule Kubwa Sana
🌡️Jiko Kubwa la Kisasa
🌡️Choo cha wageni
🌡️Fans &
🌡️Paving Blocks
🌡️Fence makabati kila chumba
🌡️Vyumba NI Vikubwa Sana
🌡️Electric Fence
Service Charge 20,000
#Malipo Ya Dalali Peter Kodi Ya Mwezi Mmoja
For More Informations
0688 067 289
0714 418 005 WhatsApp