Nyumba inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


House Of three bedroom, sebule na jiko
RENT PER MONTH:700k
TERMS: 6 Month
MAHALI-: GOBA NJIA NNE
Specifications:-
๐Nyumba ipo maeneo ya Goba njia nne
๐3 bedrooms chumba kimoja ni master bedroom
๐Jiko kubwa la kisasa
Maji na umeme unajitegemea
๐Fence na full Paving blocks
Payment Conditions:
๐Kodi ya Nyumba kwa Mwezi ni 700
๐Malipo ya Kodi ni Ya kwa miezi sita (6)
Service Cost:
๐Gharama za kuona Nyumba ni 20k(inalipwa Mara Moja)
๐Malipo ya Dalali ni Ya Mwezi mmoja Sawasawa na Kodi ya Nyumba
Contact:-
โ๏ธ0718536657 Normal & Whatsapp๐ฒ
Office location
๐ Lufungira near mlimani city