Nyumba inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


STAND ALONE HOUSE Inapangishwa GOBA CENTRE
BODA 1000
NJIA NZURI SANA,,,GARI YEYOTE INANGIA HAD GETINI
Bei yake :: 500,000Tsh kwa mwezi (Miezi 6)
Muundo wa nyumba;
๐ก๏ธVyumba viwili ( kimoja ni Masta)
๐ก๏ธSebule kubwa sana
๐ก๏ธJiko kubwa
๐ก๏ธChoo cha wageni
๐ก๏ธFence
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya dalali ni Mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300