Nyumba inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


APARTMENT INAPANGISHWA;
๐Location :: GOBA LASTANZA
๐Bei Yake :: Tsh 450,000 kwa Mwezi
Ina Chumba Kimoja, Kabati la nguo, Sebule yenye open kitchen na Choo cha ndani pamoja na bafu.
Umeme unajitegemea na maji ni dawasa.
Call / Whatsapp
#0789768988