Nyumba inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


โ๏ธNEW APARTMENT_FOR RENT
๐LOCATION; GOBA KINZUDI( MAGOROFANI)
SIFA ZA NYUMBA
๐2 Bedrooms (1 Master Bedroom)
๐Sitting Room
๐Public Toilet
๐Kitchen ( Makabati)
๐Stand alone ( Mpangaji mwenyewe)
๐Sehemu kubwa ya nje unaweza kujenga mabanda ya kuku au bustan kubwa
๐Boda Boda toka Kituo cha dala dala( Kinzudi) 1,000/=Tsh
๐Nyumba Haina Fensi ila Usalama 100% Mana Ni mtaa wa kishua sana
KODI NA UTARATIBU WA MALIPO
๐Kodi 400,000/=Tsh Kwa Mwezi
๐Muda wa malipo miezi 3
๐Service charge ni 20,000/=
MAWASILIANO
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI