Nyumba inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


NYUMBA KUBWA NZURI YA KIFAMILIA INAPANGISHWA 300K X 4,5,6
ZIPO 3 NDANI YA FENSI MOJA
ILA HII 1 IPO WAZI KWA SASA
๐ฅ NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 TUU VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#PARKING
#GARDEN
BEI NI 300,000/= X 6
ILIPWE LAKI 3 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 4 NA KUENDELEA
๐น๐ฟ NYUMBA HII IPO GOBA ROAD KWA ROBART ,KUTOKA GOBA ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BOBA 1000
KUTEMBEA NI DAKIKA 15 TU
โผ๏ธKUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
๐ค IPO WAZI SASA KUONA NDANI RUKSA KABISA MALIPO YANAPOKELEWA
NA KUHAMIA
=========
CALL
0683234124
0718367179