Nyumba inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


Nyumba Mpya: Master bedroom, Sebule na Jiko 300kš
Specifications:-
⢠Nyumba ipo Maeneo ya Goba centerš
⢠Chumba Kimoja Master bedroom
⢠Jiko Lake Zuri Kabisa
⢠Ipo Karbu Na Barabara
Payment Conditions:-
⢠Kodi ya Nyumba Kwa Mwezi ni 300kā
⢠Malipo Ya Kodi ni ya Miezi Sita (6)
Service Fee:-
⢠Gharama Za Kuona Numba Ni 20k (Inalipiwa Mara Moja
Hadi Utakapopata Nyumba)
⢠Gharama Za Dalali Ni Mwezi Mmoja wa Kodi Ya Nyumba ambayo Hulipwa Na Mpangaji Tofauti Na Kodi
Contact:
⢠0744701813 Normal/Whatsappš²