Nyumba inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


Chumba Sebule choo jiko inapangishwa
Wahi kumbozana beba pesa sio ya kukosa
Njoo ukae sehemu nzuri
Ipo goba center bei yake 300k malipo ni miezi 6
Umbali kutoka kituoni kutembea dk4 tu
Umeme wako maji mita yako
Kwa wale wanapenda nyumba nzuri hii ni yenu
Gharama ya Kuona nyumba zetu ni Tsh 20,000/=
Tupigie cm 0782 724 115