Nyumba inapangishwa Hazina, Dodoma







HIZI APARTMENT ZIPO 3 TU KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA IPO WAZI
#MASTER BED ROOM KUBWA
#CHUMBA CHENYE CHOO NDANI KIKUBWA
#LUKU 2
#MAJI DAWASA NDANI
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW NYUMBA HAZINA FENSI ILA USALAMA WA KUTOSHA
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 3 TU KUTOKA MWENDOKASI
#BEI NI 150,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
Kwa maelezo zaidi piga :--
0712528820
0685221354
Mr.