Nyumba inapangishwa Hazina, Dodoma







HIZI APARTMENT ZIPO NNE TU KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA IPO WAZI
#SEBULE KUBWA
#MASTER KUBWA
#KIBALAZA CHAKO
#HAKUNA JIKO
#TAILZY GIPSAM MADIRISHA YA SHATA WAVU MAKUBWA MAZINGIRA MAZURI SANA NYUMBA HAZINA FENSI ILA USALAMA WA KUTOSHA PARKING KUBWA
#LUKU SUBMITER MATUMIZI YAKO
#MAJI DAWASA NDANI
#LOCATION KIMARA BUCHA DK 15 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI BODA BUKU MPAKA MLANGONI
#BEI NI 160,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 4,5,6
0715949085