Nyumba inapangishwa Kamara, Kigoma


APARTMENT ZINA PANGISHWA KAMARA STOP OVER DK13 KUTOKA LAMI BODA BUKU BARABARA SAFI KABISA YA ZEGE  GARI YOYOTE INA FIKA  SAFI . 
---------
Chumba master 
Seble kubwa sana 
Jiko kubwa la kisasa lina makabati 
Full air condition 
Heater ya maji moto maji baridi 
Maji yana flow 
Tiles 
Gypsum 
Electronic fence 
Parking space kubwa sana 
----------
Service charge 15,000/=
Kodi 330,000/=Γ6
-----------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 3.3
------------
Contact 
π#0676_218580 (WhatsApp)
π#0693_673010 
#DALALI_BIG_GOBA_MBEZI_BEACH πΉπΏ




















