Nyumba inapangishwa Kariakoo, Dar Es Salaam
Hii apartment ipo kariakoo
Mtaa WA skukuu ipo floor ya 5 lifth ipo generetha
Ni full fanish
Inavyumba vitatu kimoja ni master sebule jiko choo Cha pablic bei
Kwa mwezi Kodi ml 1 na laki 5 Kwa mwezi Kodi MIEZI 3 mkataba WA mwaka nyumba inafanyiwa usafi unaingia nyumba ikiwa safiiii
Mawasiliano
#0716938128
#0692198834