Nyumba inapangishwa Kariakoo, Dar Es Salaam


CHUMBA MASTER KINAPANGISHWA.
LOCATION: KIPO KARIAKOO MTAA WA LIVINGSTONE NA PEMBA, FLOOR YA 6.
USALAMA WA UHAKIKA, MAJI NA UMEME UNAJITEGEMEA MITA. JIKO LAKUSHEA WATATU NA SEBULE YAKUSHEA UTATUMIA KAMA UNAHITAJI.
KODI: 300000 KWA MWEZI, MALIPO MWANZIA MIEZI 6.
CONTACT: 0692423138 / 0719115949.