Nyumba inapangishwa Kibaha, Pwani


APARTMENT MPYA KABISA ZINA PANGISHWA KIBAHA PICHA YA NDEGE KITUO SHELI KABLA UJAFIKA PICHA YA NDEGE UMBALI Dk 7 KWA MGUU KUTOKA LAMI
-------
Seble kubwa sana
Chumba kikubwa
Jiko kubwa la kisasa
Public toilet
Heat maji moto
Maji yana flow
Luku yako
Tiles
Gypsum
Fence kubwa parking ipo
---
Service charge 15,000/
Kodi 160,000/=×3
Itakuwa Wazi Tarehe 1.11.2024 Kuona na kulipia kama mpangaji ata kuwepo..
--------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 1.6
Angalizo nyumba itakuwa wazi Tarehe 1.11.2024 kuona una ruhusiwa kama mpangaji atakuwepo
Nyumba kubwa sana kubwa sana wahi