Nyumba inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam


APARTMENTS MPYA ZINAPANGISHWA KIBAMBA KWA MANGI #250K
===
Vyumba 2 vya kulala kimojawapo master bedroom sebule jiko na public toilet
===
Kodi 250,000 Kwa mwezi × 6
===
Umbali dakika 15 Kwa mguu ( KM 1 bodaboda 1000)
===
Kila apartment inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni na jikon
===
Ndani ya fence parking ni ya uhakika
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
===
0754344786
0652472014