Nyumba inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam
APARTMENT'S MPYA ZINAPANGISHWA KIBAMBA KWA MANGI #130𝖪
==
Chumba cha kulala
Sebule
Choo ndani
Ndani ya fence parking kubwa
Umeme submeter
Maji yanaflow chooni
°==
Kodi 130,000 Kwa mwezi × 6 miezi inazungumzika
===
Umbali dakika 10 -12 Kwa mguu
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
0659244543