Nyumba inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam


APARTMENT INAPANGISHWA KIBAMBA SHULE #350K
===
Vyumba 3 vyakulala kimojawapo master bedroom sebule jiko na public toilet
==
Kodi 350,000 Kwa mwezi × 3 (Miezi 3 nakuendelea)
===
Umbali dakika 3 Tu Kwa mguu toka kituoni
===
Ndani ya fence parking kubwa, kila apartment inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni na jikon
===
NB: Kibamba Usafiri niwa uhakika kwenda mjini Mwendokas zipo, gari za moja Kwa moja kwenda Makumbusho , Kawe na Kariakoo zipo
====
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena. Agents' commission ni Kodi ya mwezi mmoja pindi ulipiapo nyumba
==
0679447338
0753454167