Nyumba inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam


APARTMENT INAPANGISHWA KIBAMBA SHULE 60k
===
Chumba cha kulala
Sebule kubwa
Choo ndani ( master)
Maji yanaflow chooni
Umeme shared
===
Kodi 60,000 Kwa mwezi × 6
===
Umbali KM 3 kutoka Morogoro Road pikipik 1000-1500
===
Nyumba ipo mazingira mazuri licha ya kwamba haina fence na Usalama upo
==={
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
====
Kodi ya mwezi mmoja Malipo ya dalali pindi ulipiapo nyumba
====
PIGA SIMU
0719969102