Nyumba inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam


HOUSE FOR RENT STAND ALONE
YENYE
VYUMBA V3 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTA BEDROOM SEBULE KUBWA DINING ROOM JIKO ZULI INA VYOO VYA FAMILY NDANI TAILS GYPSUM BOARD ALUMINUM WINDOWS LUKU INAJITEGEMEA MITA YA MAJI INAJITEGEMEA IPO NDANI YA FENSI GET PAVING BLOCK GET
KODI KWA MWEZI MMOJA NI TSHS LAKI NNE 400K
KODI ILIPWE MIEZI MINNE 4:5;6;
NA MALIPO YA MWEZI MMOJA YA DALALI PINDI ULIPIAPO PANGO YA NYUMBA
SERVICE CHARGE NI TSHS ELFU 15 🇹🇿
LOCATION KIBAMBA SHULE UMBALI WA KM 3
BODA SHILINGI ELF 1500
SIMU
0712656027