Nyumba inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam


š”NYUMBA INAPANGISHWA
(INAJITEGEMEA)
šKigamboni-Kisiwani
š°450,000X6 Na mwezi mmoja wa dalali
ā ļøNB; UKILIPIA UNAFANYIWA MAREKEBISHO
Details
ā¢Vyumba viatatu vya kulala(Vyote Master)
ā¢Sebule
ā¢Jiko
ā¢Common Washroom(Choo)
ā¢Umeme na Maji Unajitegemea
ā
Fenced
ā
Parking
āļøSURVEY CHARGE(Gharama ya kuzunguka mpaka upate nyumba utayoipenda)
20,000/=
āļø0621393139(WhatsApp/Call/Text)
š²0769063139(Call/Text)



















