Nyumba inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam


🏠NYUMBA INAPANGISHWA 
(INAJITEGEMEA)
📍 Kigamboni-ferry sido
💰120,000 Kwa Mwezi & Na mwezi mmoja wa dalali
🏷Details
✅️chumba master (Choo ndani)
✅️Umeme na Maji available 
✅️fenced 
✅️Alluminium windows 
✍️SURVEY CHARGE(Pesa ya kuzunguka/ survey)
Tsh. 15,000/= inalipwa Mara moja mpaka upate nyumba .
❗️USISITE KUPIGA SIMU
 > kwa kuuliza au maelekezo 
☎️
call~dm~book
🙏 KARIBUNI SANA WATEJA .




















