Nyumba inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam


HOUSE FOR SALE
LOCATION : KIGAMBONI KIMBIJI (KIMBIJI CENTER)
DETAILS : NYUMBA HII IPO KIMBIJI CENTER, UMBALI WA MITA 200 TOKA BARABARA KUBWA YA KWENDA BUYUNI, UMBALI WA MITA 300 MPAKA BAHARINI (NYUMBA IPO UPANDE WA BAHARI), INA VYUMBA ZAIDI YA VINNE NDANI YAKE VYA KUPANGISHA, INA MABANDA YA KUFUGIA KAMA UNAVYO JIONEA HAPA, NYUMBA HII INA UKUBWA WA SQUARE METER 1200, IPO NDANI YA FENSI NA INA FRAME MOJA, MAJI YAPO YA KISIMA WAPENDWA KAMA MNAVYO JIONEA HAPO, DOCUMENTS ZOTE MUHIMU ZIPO
BEI YAKE NI MILIONI 45 TU
KWA MAWASILIANO ZAIDI TUPIGIE โ๏ธ๐ฒ 0753999903