Nyumba inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam


💠NYUMBA MZUR SAN INAJITEGEMEYA KILA KITU
💠INA VYUMBA VITATU KIMOJA MASTER SEBURE JIKO
💠INAPANGISHWA 350K MIEZI 5 NAKUENDELEA
💠LOCATION KIGAMBONI DARAJANI
💠MALIPO YA DALALI 350K SURVEY 15K
☎️0623764283