Nyumba inapangishwa Kigogo, Dar Es Salaam


APARTMENT ZINAPANGISHWA
ZIKO NDANI YA FENSI, VYUMBA VIWILI VYA KULALA, SEBULE, FENI VYUMBA VYOTE, CHOO CHA NDANI PUBLIC NA JIKO ZURI.
UMEME MITA INAJITEGEMEA NA MAJI NI DAWASA YANATOKA JIKONI NA CHOONI.
KODI: 200000 KWA MWEZI, MALIPO KWANZIA MIEZI MITATU.
LOCATION: KIGOGO FRESH.
CONTACT: 0692423138 / 0719115949.