Nyumba inapangishwa Kijichi, Dar Es Salaam


Apartment inapangishwa 300,000 kwa mwezi
Iko kijichi mtaa wa gateway ina nyumba viwili
(1master)-sebule-jiko & public toilet
Umeme kuna LUKU yako ila
Fensi mtashea 3
============
More info
+255 712 445 523