Nyumba inapangishwa Kijitonyama, Dar Es Salaam


💥 KODI NI 400,000/= KWA MWEZI) Apartment Kali Inapangishwa
🌍LOCATION: KIJITONYAMA
Karibu Sana Na BARABARA YA Lami
☑️Zipo Tatu Kwenye COMPOUND MOJA
☑️Vyumba Viwili, Kimoja Ni Master
☑️Sebule
☑️Jiko Kubwa
☑️Bafu Na Choo Ndani
☑️Fensi
☑️Parking
☑️Tiles, Gypsum & Sliding Windows
☑️Umeme Inajitegemea
☑️Full Paving Blocks
☑️Reserve Tank
☑️Dawasa Maji 24/7
Gharama Ya Kuoneshwa Ni 15,000/= (Inalipwa Maramoja Na Itadumu Mpaka Upate)
Bila Kusahau Malipo Ya Mwezi Mmoja kwa Dalali
📞 CONTACTS
CALLS
WSP SIMU-0685704791