Nyumba inapangishwa Kilwa, Tanga


Apartment ya Gorofa ya floor ya chini inapangishwa
Parking ipo
Ina vyumba 2 vya kulala
Kimoja masta
Sebule
Choo na jiko
Full tailizi
Madirisha Aluminium
Umeme luku
Maji masaa 24
Apartment Hiko maeneo ya Jirani na kituo Cha bus police fundi.kilwa road barabara ya kwenda kariakoo ama posta
Bei kwa mwezi laki 3
Kodi miezi 6
Mashart ya nyumba anatakiwa mkiristo
Whatsap 0754206815
Au 0629956838
Kuangalia nyumba au service charge elfu 10000