Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


(95,000 × 6) MASTER BEDROOM KIMARA MWISHO
UKIJA NA 90,000 MIEZI 6 NAKUOMBEA
HAYA ISHI KWA MALENGO HAPA AKUNA USWAHILI MWENYE NYUMBA MSELA MZUNGU ...
MASTER KUBWA INAPANGISHWA KIMARA MWISHO
UMBALI WA DK 15 TUU KWA MIGUU
BODABODA 1000 MLANGONI
BAJAJ 700 MLANGONI
UMEME WA 2 TUUU
MAJI YANAFLOW NDANI
WAPANGAJI WAPO WA NNE HAPA (4)
MADILISHA MAWILI YA WAVU UPEPO UPO
FENI JUU
FENSI IPO ILA SIYO YA KULAZA GARI
MTAA MZURI NJE HUDUMA ZOTE ZIPO ZA KIJAMIII
WASELA TUU HAPA UTAENJOY KAMA MWENYE NYUMBA WAHI
BEI NI ELFU 95,000 ILIPWE MIEZI 6
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya dalali ni Mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300