Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT 4 NDANI YA FENCE MOJA MPYA KABISA ZINA PANGISHWA NA IMEBAKI MOJA TU KIMARA STOP OVER DKK14 KWA MIGUU KUTOKA LAMI BODA BUKU.
CHUMBA MASTER
SEBLE KUBWA
HAKUNA JIKO
HEATER YA MAJI MOTO MAJI BARIDI
INA SEHEMU YA KUOSHEA VYOMBO AMBYO NI YAKO WEWE TU.
TILES
GYPSUM
MAJI YANA FLOW
NDANI YA FENCE
PARKING SPACE KUBWA SANA
SERVICE CHARGE 15,000/=
KODI 250,000/=×6
MALIPO YA DALALI YA MWEZI MMOJA TU.
PIGA SIMU UWAHI
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI