Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT  MPYA KABISAAA ZINA PANGISHWA KIMARA MWISHO KM2 KUTOKA LAMI INA KUWA WAZI TAR 30.9.2025 KUONA NA KULIPIYA LUKSA 
CHUMBA MASTER KIKUBWA 
SEBLE KUBWA SANA 
JIKO KUBWA BADO SINKI TU 
MAJI YANA FLOW 
LUKU YAKO 
NDANI YA FENCE 
PARKING SPACE KUBWA 
O677370515 
SERVICE CHARGE 15,000/=
KODI 200,000/=×6




















