Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


(250,000 × 6) KIMARA TEMBONI
APARTMENT KALI SANA
INAPANGISHWA 
. SIFA ZAKE NI
. 
CHUMBA MASTER
SEBULE KUBWA SANA
JIKO KUBWA
NA INA CHOO CHA PUBLIC NDANI
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI 
. 
. KODI YAKE  250000 Miezi 6
Ipo km 1.2 kutoka kituoni
Bajaji 700 ukishuka unaingia ndani
Bodaboda 1000 mpaka mlangoni
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya dalali ni Mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300
PIGA CM USITUME SMS UTACHELEWA KUJIBIWA



















