Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA IPO SEHEMU NZURI INAPANGISHWA ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 10/04/2024 KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
๐ฅ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#AIR-CONDITION
#HEATER ZA MAJI MOTO
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
BEI NI 500,000/= X 6
ILIPWE LAKI 5 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
๐๏ธ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI NJIA ILIYOWEKWA LAMI NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 6 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI LAMI TUPU HADI KWENYE NYUMBA
๐ฅ UKILIPIA NYUMBA HII UTALIPIA NA PESA YA TAHADHARI (CAUTION MONEY) SHILINGI LAKI 5 (500,000/=)
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
โโ ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 10/04/2024 KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO NA MALIPO YANAPOKELEWA โโ
#0785889413
#0785889413