Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA YA KUPANGISHA KIMARA MWISHO CHUMBA SEBLEE CHOO NDANI NA JIKO NA CHOO CHA PUBLIC (200,000)KWA MWEZI NDANI YA FENSI
..........
Seblee kubwa
Chumba master Kikubwa na jiko
Na choo cha public
Full tiles
Gypsum board
Dilisha kioo
Umeme ni submiter
Maji Dawasco yapo yanaflow ndani
Metar ya maji MNASHEA wawili
Parking kubwa
Nyumba nzuri ya kisasa
Mazingila safi
..........
Kodi 200.000/ X 6
Kupelekwa site ni Elfu 15
.........
Ipo umbali wa 1.5 kilometers to main road usafili ni boda boda 1000 mpaka getini
Bajaji 700
...........
ILIPWE 200.000/ KWA DALALI PINDI UNAPOLIPIA HII NYUMBA
WAPANGAJI WAWILI TU
ANGALIZO PIGA SIMU ACHANA NA MAMBO YA SMS
0710614924
0688653940