Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


🏘️ 4RENT __280,000X6 __1CHUMBA CHA KULALA SEBLE_PUBLIC TOILET YA NDANI _JIKO __KIIMARA SUKA DK8 KUTEMBEA__NEW APARTMENT MPYA KABISA WAHI MTEJA MAFUNDI WAPO KWENYE SPEED 🚄 5G+ ZINAKUWA TAYALI KUHAMIA TAREHE 20/03/2024
_________________________
280,000x6maongezi KIDOGO kushuka
_______________________________________
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA KIKUBWA
#CHOO CHA NDANI
#JIKO KUBWA
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA MAJI NI DAWASCO YANAFLOW NDANI NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING YA KUTOSHA
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCK
#BEI NI 280,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6 MAONGEZI KIDOGO YAPO SIO SANA KUHUSU BEI
#LOCATION KIMARA SUKA DK 8-10 KWA MIGUU KUTOKA MAIN ROAD BODA BUKU MPAKA GETINI
______________________________________________
SEVISE CHARGE 15ELFU __UKILIPIA NYUMBA AGENT MONTH __280K
________________________
CALL___+255 679 897 628/WSP __DLL__Sd660__tdsmtz🇹🇿