Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
![media -1 media -1](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fmakazimapya.s3.amazonaws.com%2Fpublic%2Fads%2Fimages%2F6120b47f-bfec-4eee-ad44-7147f7c24f73.jpg&w=3840&q=75)
![media -1 media -1](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fmakazimapya.s3.amazonaws.com%2Fpublic%2Fads%2Fimages%2F6120b47f-bfec-4eee-ad44-7147f7c24f73.jpg&w=256&q=75)
INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO KM 1, 5 KUTOKA STEND KIMARA MWISHO BAJAJ ZIPO
KUPELEKWA KUONA ELF 15
UKILIPIA NYUMBA DALALI UTAMPA HELA YA MWEZI MMOJA PINDI UTAKAPO KUWA UMELIPIA NYUMBA
_____________________________________
SIFA YA NYUMBA
HAPA KUNA BEI MBILLI TUFAUTI
LAKI TANO 500k ya gorofa na LAKI 4
nyumba mpya
Ina vyumba viwilli vya kulala kimoja master bedroom
Sebule kubwa sana
Jiko zuri lipo ndani
Inajitegemea umeme NA maji
Ipo ndani ya fensi
Mazingira salama sana
Ipo hatuwa za mwisho kumariziwa
Mwenye nyumba
Ana pokeya pesa
______________________________________
KODI KWA MWEZI MMOJA NA MALIPO KWA MWEZI MMOJA
Kodi kwa mwezi ni laki 4
(400,000)x6
0710614924
0688653940