Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT KALI SANA ZINA PANGISHWA KIMARA TEMBONI DK15 KWA MIGUU KUTOKA LAMI BODA BUKU
.
.
KODI NI 350,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI
.
.
SIFA ZAKE
#########
VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJA MASTER BEDROOM
SEBLE KUBWA SANA
JIKO KUBWA LA KISASA LINA MAKABATI
PUBLIC TOILET
SLIDE WINDOW
MAJI YANA FLOW
LUKU YAKO
TILES
GYPSUM
NDANI YA FENCE
PAVING BLOCK
PARKING SPACE KUBWA
.
.
SERVICE CHARGE 15,000/=
.
.
CONTACT
0742260844
0657384670
0788296797